Kiwayu (Nepal)

Kiwayu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wawayu. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiwayu imehesabiwa kuwa watu 1520. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiwayu iko katika kundi la Kihimalaya.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search